UHALIBIFU WA MAZINGIRA
Swala la uhalibifu wa wa mzingira limekuwa jambo ambalo jamii bado haija elewa madhara yatokanayo na ukataji wa miti ovyo pamoja na uchomaji wa misitu au mapori. Madhara yanayo tokana ni mabadiliko ya tabia ya nchi na hili hupelekea kukosa mvua au kunyesha mvua kubwa zaidi na haya yote sio salama kwa kilimo cha nchi yetu ndio hupelekea kukosa chakula na kusababisha njaa hadi vifo . kwahiyo tunza mazingira yakutunze
No comments